Hapa ni ndani ya ukumbi huo juu ya jiwe
Ndugu Philemon Sokime (kulia) na ndugu Charles Pamba (kushoto) wakiwa katika mshangao mkubwa baada ya kupanda juu ya jiwe hadi ukumbini na kujionea jinsi ulivyo.
Hapa pia ni sehemu ya ndani ya ukumbi huu
Hili ni lango la kuingilia kwenye ukumbi huu.
Kutoka kushoto-Charles Pamba, Philemon Sokime na Kibugi Charles
Hii ni sehemu ya ukuta wa ukumbi huu uliojengwa juu ya jiwe.
Huyu ni Patrick Ngailo akijaribu kupanda juu ya ukuta wa ukumbi huu.
Hii ni sura ya nje ya ukumbi ikionyesha jinsi ulivyojengwa juu ya jabali hili
Juu kabisa ni baadhi ya watu waliokuja kupata upepo mwanana juu ya ukumbi huu