Vyakula vikiwa ndani ya mifuko tayari kwa kuwagawia watu wasioona kwa ajili ya kujikimu kimaisha. |
Watu haw wakifurahi baada ya kupewa chakula |
Mzee wa miaka zaidi ya 80 ambaye pia haoni amepata wasaa wa kumshukuru mwezeshaji kwa kuwapa chakula hicho cha msaada. |
Wabibi wawili hapa wakisikiliza kwa makini mgao unavyokwenda. Wao tayari wameshapata cha kwao |
Msoma ratiba ya mgao wa chakula akihakikisha kama kuna yeyote aliyeachwa kwenye mgao huo |
Ndg Lubuva akiwa na msoma ratiba ya mgao na mzee wao mkongwe akiwasikiliza kwa karibu |
Baada ya mgao wa chakula wanajiandaa kuondoka |
Wanajamii hawa wanapata muda binafsi wa kumshuku mwezeshaji wao kwa karibu. Wanaona ni kitu kigeni kwao |
Wanaongoza njia kuelekea makwao
Fikiri Kijumuishi ~~~ Tenda kijumuishi ~~~ Jenga taifa Jumuishi
|