Thursday, February 19, 2015

Haya mauaji ya Albino yataisha lini Tanzania?



Mtoto mdogo ambaye ni Albino aliyetekwa nyara Tanzania amekutwa ameuawa huku miguu na mikono yake ikiwa imekatwa. Je kwanini mauaji haya yanaendelea licha ya juhudi mbalimbali kufanyika kumaliza jambo hilo? Tweets @Venusnyota