Shule ni moja ya silaha muhimu kwa watu wenye mahitaji maalum kuweza kuyamudu mazingira yao.
Mwl Fanuel Mwakanosya akiingiza karatasi kwenye perkins tayari kwa kuandika |
Walimu Patrick Ngaillo (kushoto) na Fanuel Mwakanosya wakishauriana jambo |
Mwl Fanuel Mwakanosya akiandaa notes kwa kutumia perkins |
Mwl Charles akiwa tayari kwa kutumia perkins kuandika notes |
Mwl Charles Kibugi akirekebisha perkins kabla ya kuanza kuitumia |
Mwl Mercy Tarimo akiwa ktk kazi ya kusahihisha maandishi ya nukta nundu |
Mwl Magreth Mdendea akiweka karatasi kwenye perkins |
Mwl Magreth Mdendea akiandaa notes za wanafunzi kwa kutumia perkins |
Mwl Rehema Mtenga akijiandaa kuandika kwa kutumia perkins |
Mwl Rehema Mtenga akitunga mtihani kwa kutumia perkins |
Matumizi ya Thermoform |
Walimu wakijadiliana jambo kabla ya kuanza kutoa kopi za nukta nundu kwenye "thermoform" |
Mwl Fanuel Mwakanosya akitumia "Thermoform |