Saturday, August 24, 2013

Shule ni muhimu sana kwa watu wenye ulemavu


 Walimu wa shule ya msingi Buigiri (shule ya wanafunzi wasioona) mkoani Dodoma wakiwa katika matumizi ya vifaa vinavyotumika kwa watu wasioona. Hii ni njia mojawapo ya kujenga taifa jumuishi.
Shule ni moja ya silaha muhimu kwa watu wenye mahitaji maalum kuweza kuyamudu mazingira yao.


Mwl Fanuel Mwakanosya akiingiza karatasi kwenye perkins tayari kwa kuandika

Walimu Patrick Ngaillo (kushoto) na Fanuel Mwakanosya wakishauriana jambo

Mwl Fanuel Mwakanosya akiandaa notes kwa kutumia perkins

Mwl Charles akiwa tayari kwa kutumia perkins kuandika notes

Mwl Charles Kibugi akirekebisha perkins kabla ya kuanza kuitumia

Mwl Mercy Tarimo akiwa ktk kazi ya kusahihisha maandishi ya nukta nundu

Mwl Magreth Mdendea akiweka karatasi kwenye perkins

Mwl Magreth Mdendea akiandaa notes za wanafunzi kwa kutumia perkins

Mwl Rehema Mtenga akijiandaa kuandika kwa kutumia perkins

Mwl Rehema Mtenga akitunga mtihani kwa kutumia perkins

Matumizi ya Thermoform

Walimu wakijadiliana jambo kabla ya kuanza kutoa kopi za nukta nundu kwenye "thermoform"

Mwl Fanuel Mwakanosya akitumia "Thermoform



2 comments:

Anonymous said...

Shule inawapa watu wenye mahitaji maalum funguo za kudumu kwa ajili ya malango ya mazingira. Elimu pekee ndiyo itakayo iwezesha jamii ya Kitanzania kukaa pamoja kwa umoja na kama taifa moja.

Anonymous said...

Safi sana walimu.