Tuesday, August 27, 2013

Jinsi ninavyoweza kuhitimisha Mjadala huu



Hivi ndivyo mtu mwenye ulemavu alivyosikika akisema; kwamba:
Hawa wananicheka kwa kuwa wao ni tofauti na mimi, nami nawacheka kwa kuwa wote wamefanana.

HUU MSEMO UMEKUJA KUTOKANA NA WATU WENGI KWENYE JAMII ZETU WAKIMWONA MTU MWENYE ULEMAVU WANAMCHUKULIA KAMA NI MGENI KWENYE JAMII HIYO. PIA HATA WATOTO WANAOZALIWA NA KUONGEZEKA KIMO, HEKIMA NA UFAHAMU WAO BADO NAO WANAANGAMIA KWENYE DHANA HIYO. JE, BINADAMU HAWANA ASILI MOJA?