Hivi ndivyo mtu mwenye ulemavu alivyosikika akisema; kwamba:
Hawa wananicheka kwa kuwa wao ni tofauti na mimi, nami nawacheka kwa kuwa wote wamefanana.
HUU MSEMO UMEKUJA KUTOKANA NA WATU WENGI KWENYE JAMII ZETU WAKIMWONA MTU MWENYE ULEMAVU WANAMCHUKULIA KAMA NI MGENI KWENYE JAMII HIYO. PIA HATA WATOTO WANAOZALIWA NA KUONGEZEKA KIMO, HEKIMA NA UFAHAMU WAO BADO NAO WANAANGAMIA KWENYE DHANA HIYO. JE, BINADAMU HAWANA ASILI MOJA?
|
5 comments:
Let us understand that every person having a disability character but we differ in levels of disability , and let us remember that disability is not in ability..
Very true, well said Rose Yona!
binadamu wote tu sawa mbele ya MUNGU.
sisi tu walemavu watarajiwa hivyo tusiwanyanyase wenzetu.
Tungekuwa na mtazamo wako huo mzuri tungefika mbali sana. Binadamu yeyote anapozeeka lazima aambatane na ulemavu. Mfano, macho kukosa uwezo wake halisi wa kuona @Richard Benezeth!
Post a Comment