Katika barua hiyo, majirani hao wamependekeza mtoto huyo auwawe kwa kuwa anawapigia kelele.
Karla Begley ambaye ni Mama mzazi mtoto Max mwenye miaka 13 aliliambia gazeti la CityNews juu ya mtoto wake kufikwa na hiyo chuki wakati akiishi na bibi yake aitwaye Brenda Millson.
Haya yametokea katika mji wa Ontario nchini Canada.
Hii ni barua iliyowataka kuondoka hapo mtaani au wamwue huyo mtoto ili kuepusha kero hapo mtaani.
Hapa pichani (chini ) ni bibi Karla Begley akiwa na mwanae Max.
Pichani hapa juu ni mama mzazi wa Max (13) akilia kwa uchungu kufuatia barua.
No comments:
Post a Comment