Tuesday, September 23, 2014

Watoto wenye ulemavu wa akili wamekosa imani na jamii yao


Watoto wenye ulemavu wa akili katika kituo cha Faraja kilichopo wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro wanalazimika kulala nyumba moja wavulana na wasichana kutokana na baadhi yao kukataa kurudi nyumbani kwao kwa kuhofia matendo ya ukatili wanaofanyiwa na jamii ikiwemo ubakaji na ulawiti.

Chanzo: ITV

No comments: