JIJINI MWANZA, NCHINI
TANZANIA, CHAMA WA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI MKOANI HUMO KIMEITAKA SERIKALI YA
TANZANIA KUELEZA KAMA IMESHINDWA KUWEKA ULINZI JUU YAO, NA KUWATAFUTIA NCHI
NYINGINE YA KUISHI AMBAKO HAKUNA MATUKIO YA KUTEKWA NA KUUAWA KWA WATU WENYE
ULEMAVU WA NGOZI. RAI HIYO WAMEITOA HII LEO WAKATI WAKITOA TAMKO LA KUTAKA
KUJUA SERIKALI IMEFIKIA WAPI KATIKA KUWASAKA WALIOMTEKA MTOTO MWENYE ULEMAVU
UPENDO EMMANUEL, ALIYETEKWA TAREHE 27.12. 2014 HUKO WILAYANI KWIMBA MKOANI
MWANZA.
CHANZO: DW (Kiswahili)
No comments:
Post a Comment