Mama
wa mtoto mwenye ualbino Bi. Esther Jonas aliyekatwa mapanga akijitahidi kuokoa
mtoto wake aliyenyanganywa na kuuwawa kinyama kisha kunyofolewa viungo vyake
amekabidhiwa msaada wa shilingi milioni moja zilizotolewa na mbunge wa Chato
Dr. John Magufuli kwa ajili ya kumsaidia wakati akiuguzwa hospitali ya rufaa ya
Bugando jijini Mwanza.
Bi. Esther Jonasi akipokea msaada wa fedha uliotolewa na Dr. Magufuli |
Chanzo: ITV
No comments:
Post a Comment