Monday, March 2, 2015

Mazingira ya Usalama zaidi kwa Albino ni yapi?

 











 Mkazi wa Kijiji cha Ihale, wilayani Busega, mkoani Simiyu, Naymer Hamis akiwa na mwanae Fatuma Ally baada ya kuwasili kwenye Kituo cha kulelea watoto wenye ulemavu wa ngozi cha Bikira Mariam wilayani humo. Mama huyo alifukuzwa na viongozi wa kijiji kwa madai ya usalama wa mtoto ni mdogo. Picha na Faustine Fabian 

Chanzo: Mwananchi Communications Ltd

No comments: